Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nitajidai my baby oooooooh oòoooh ooooo nakoma za zako kachirii kachirii ukibinuka binuka eeeeeeeh eeeeh eeèeee kivumbi na jasho wawili wawil kwenye mashuka
Uniteke uniteke nicheke kama mtoto uniteke aaah baby hapo ndo penye uniteke unitekenye chiii ninenepe kama mpoto
Macho yake nungunungu akinitazama nami nageuka nunungu miba inasimama
Eeeeeeh Fanya wazi unachotaka zidisha kunipenda
La kuna paparazi na basata tusichapane madenda
Nakoma na zako Kachiri, Kachiri, Ukibinuka binuka
Eeeeeh Eheee Ehee
Asa bebi mi nataka nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Yaani pinda nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Ooh nishikilie nami nikugande, Pindaa, Pinda mi napinda mugongo Pindaa
Embu nipe nikukande, Yaani nikukande
Chiiii
Embu nipe nikukande, Yaani nikukande
Asee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom