Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,470
MmmhSakayo anasalimiwa eti..View attachment 1103965
MmmhSakayo anasalimiwa eti..View attachment 1103965
Nasubiria pichaTukutane Taifa Alhamisi basi..![]()
Huo utani mzuri!.
Poa sana za kwako?Shkamoo
SalamaPoa sana za kwako?
Umepotea sanaSalama
Kina nani etiUmepotea sana
Wewe apoKina nani eti
Nipo hapa mimi jamaniiiWewe apo
Ndio nakuona eti, kuna siku nilienda kukutafuta adi KenyaNipo hapa mimi jamaniii
Hahaha hahaha hahahaNdio nakuona eti, kuna siku nilienda kukutafuta adi Kenya
😁😁 basi unaniona alafu unanipitia mbaliHahaha hahaha hahaha
Mbona mie nakuona kila siku eti
Unakuwaga busy!basi unaniona alafu unanipitia mbali
Basi ndio maanaUnakuwaga busy!
Nikikuona uko busy napita kimya kimyaBasi ndio maana
Ushapata sababu sasa 😁😁, nakuaga busy na nini mie?Nikikuona uko busy napita kimya kimya
Umesahau ama?!.Ushapata sababu sasa, nakuaga busy na nini mie?
Me sinaga u-busy wowote humu ndani wewe tu unanichukulia hivyoUmesahau ama?!.
Hahaha hahaha hahahaMe sinaga u-busy wowote humu ndani wewe tu unanichukulia hivyo