Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ebhuuuu sema ukweliiii nioneee alafu nikujibu
Nimekumiss eti kwani umesharudi
Nimekumiss eti kwani umesharudi
Mie nazidisha kukupenda kila siku,ila sina bahati kwakoEeeeeeh Fanya wazi unachotaka zidisha kunipenda
Kweli bwana nimekumiss kama umerudi fanya mambo ya sultan basiEbhuuuu sema ukweliiii nioneee alafu nikujibu


Hahahhahah bahati ya nn sasaMie nazidisha kukupenda kila siku,ila sina bahati kwako
La kuna paparazi na basata tusichapane madenda
Nakoma na zako Kachiri, Kachiri, Ukibinuka binuka
Eeeeeh Eheee Ehee
Asa bebi mi nataka nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Yaani pinda nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Ooh nishikilie nami nikugande, Pindaa, Pinda mi napinda mugongo Pindaa
Embu nipe nikukande, Yaani nikukande
Chiiii
MashalaahEmbu nipe nikukande, Yaani nikukande
Haya bana,Mie naomba unichome tu. Na hy miba ya nungu nunguNdiwoooo![]()
Naam, huku nasoma tu comments zako ,zaniacha hoi walahi
Naona beer zinashuka sasa we mzee
Hahahaha ,we unajua Shangazi, mie kusema siwezi ,PM umefungaEeenh nakuvuruga tena na nn we mzee
Haya bana,Mie naomba unichome tu. Na hy miba ya nungu nungu
HahahhahhaNaam, huku nasoma tu comments zako ,zaniacha hoi walahi
Uko pm nakuogopa sana we mzee acha tu niendelee kupafungaHahahaha ,we unajua Shangazi, mie kusema siwezi ,PM umefunga
Woooooozaaaaaah sijaona kama nmemisiwaaKweli bwana nimekumiss kama umerudi fanya mambo ya sultan basi![]()
Hahahaha, kwa maandishi tu ,nikujuana toshaHahahhahah bahati ya nn sasa
We mzee bwana
Unampendaje mtu humjui
😀😀😀 ata usiku mwema acha nilaleHahahaha kama mtu mwenye busara zake halafu upande wa pili hana hizo busara
Fungua kwa ajiri yangu kisha fungaUko pm nakuogopa sana we mzee acha tu niendelee kupafunga
Hahahaha, Mie ndio unaniacha hoi zaidi Shangazi , *najua unajua yakua nakupenda Sana*Hahahhahha
We mzee bwana unaniacha hoi sana na mambo zako
Kweli tena nimekumiss au unataka makopa ndio uaminiWoooooozaaaaaah sijaona kama nmemisiwaa



Eeenh ili unikimbie siku ya siku na uzee wangu na sura ya baba anguHahahaha, kwa maandishi tu ,nikujuana tosha
Mapema hivi imekuwaje etiata usiku mwema acha nilale