Asante sana binamuHongera Wamama Wote Wa JF na Makapuku Forum
![]()

Hahahaa...ndo maana wanaume hatauachagi kuangalia makalio ya wadada/wanawake, yaani hata Ramadhan hatuachi wakilivalisha dela
Kwahiyo binamu huu mwezi umefunga ndoa nyingi eenh..duh binamu hata wewe ni wa kunifanyia fitna.Hela hatujalipwa, ingekuwa nimelipwa ningeacha kukualika kwenye ndoa zangu za Ramadhani?
Nililipwa kidogo sana ila nikazimalizia kwenye vunnjajungu, hapa Mtwara huwa tunalivunja kweli kweli
Hatujambo moud wewe jeHamjambo humu
Baba wawili huyo uliyemweka kwa avatar anaitwa nani eti sijui unajua mm kama mkoromije tu na ushamba wanguSawa shunie!!
Baba wawili huyo uliyemweka kwa avatar anaitwa nani eti sijui unajua mm kama mkoromije tu na ushamba wangu
Pole Sana RafikiJumatatu ipo poa mvua kama kawaida
Ha ha ha binamu umenichekesha sana,..duh binamu hata wewe ni wa kunifanyia fitna.Hela hatujalipwa, ingekuwa nimelipwa ningeacha kukualika kwenye ndoa zangu za Ramadhani?
Nililipwa kidogo sana ila nikazimalizia kwenye vunnjajungu, hapa Mtwara huwa tunalivunja kweli kweli


Toka lini insta baby akawa mkoromije shunie??huku koromije tumepazoea sisi na ushamba wetu tuBaba wawili huyo uliyemweka kwa avatar anaitwa nani eti sijui unajua mm kama mkoromije tu na ushamba wangu


Kwema dumejeuri za wewekwema aunt ake?
Asante nimeshapoaPole Sana Rafiki
Toka lini insta baby akawa mkoromije shunie??huku koromije tumepazoea sisi na ushamba wetu tu
Huyo anaitwa James Haden,mchezaji wa timu ya Houston Rocket kwenye ligi ya NBA!!




eti insta baby kumbe unanisomaga namsikiaga kumbe ndio huyo Ndio shunie,huwa nakusoma ha ha haeti insta baby kumbe unanisomaga namsikiaga kumbe ndio huyo
Mm nawajua kina steph curry tu
Ni jambo zuri,,kwema lakini shunie?poleni na mvuaAtakuwa busy na mfungo
Mh yule si mweupeNdio shunie,huwa nakusoma ha ha ha
Bhasi si ndio yeye huyu,Curry maarufu yule
Tumeshapoa baba wawiliNi jambo zuri,,kwema lakini shunie?poleni na mvua