Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
@Lee sijui katekwa na nani jamaniHahahaa! Mama Naah unaitwa huku na kuvuruge wa lee
@Lee sijui katekwa na nani jamaniHahahaa! Mama Naah unaitwa huku na kuvuruge wa lee
Eeeh! Hapo hapo..Tunaogopa kuwaambia tunawapenda
Hahahaha, hapo limeanzia ,ila mwisho herufi km inayoishia kwanguHuyo S jina lake ndio limeishia hapo we mzee
HahahahaAsante jamani we mzee
Hapana bwana tafiti ndio inasema hivyoEeeh! Hapo hapo..
Hivi huwa mnaogopa kumwambia mwanaume unampenda?
(THIS IS SERIOUS TALK)
WachaaaahHahahaha, hapo limeanzia ,ila mwisho herufi km inayoishia kwangu


Bwana weeh mm hilo swala sikuamini wewe endelea kumdanganya mama naah
Binti wa kipemba huko@Lee sijui katekwa na nani jamani
Labda umepumzika sio kuacha bwanaUnaumbuka enzi zile nalewa ! Afu nakuja kuleta fujo jukwaani..?
Nimeacha now
Hahahaaa...! Sawa mama DHapana bwana tafiti ndio inasema hivyo
Mm nikikupenda kukuwambia nakupenda kama ndio wimbo
Hahahaha, umeona eehWachaaaah
Atatekwa lakini atarudiBinti wa kipemba huko
Nimeona mie we mzeeHahahaha, umeona eeh
Woii..Labda umepumzika sio kuacha bwana





Dah, hii 'bahati' sijui nitaipatajeHapana bwana tafiti ndio inasema hivyo
Mm nikikupenda kukuwambia nakupenda kama ndio wimbo
Watu wa watu wenu...! Mnajuana kama asali na nyukiAtatekwa lakini atarudi


Ngoja ugonjwa unaoumwa upone utaendelea na pombe zakoWoii..
Nakunywa maji na juice ya miwa tuu sasa hivi![]()
Hahahaha, inawezekana unavyoona ndivyo hivyoNimeona mie we mzee