Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
HahahahZa huku ni poa! Tushamaliza kuzika sasa tunarudi
Mama naah bwana
HahahahZa huku ni poa! Tushamaliza kuzika sasa tunarudi
Hizo kama walivyosema kwenye tafiti
HahahahaHizo kama walivyosema kwenye tafiti
Dondosha hiyo tuoneJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge
Duuu, naogopa ujue![emoji849][emoji849]
Acha yoga moud we mwanaumeDuuu, naogopa ujue![emoji849][emoji849]
HahahahAse, bila pombe Dunia ingefurika hii
Mmmh tafiti nyingine hizi!!
Salama moud habari ya weweSalaam ndugu zangu
Nyi huwa mnajifanyaga waoga [emoji23][emoji23]
Unachekaaaa we mzeeHahahaha
Eeenh ndiwoooo wanaume wenyewe nyieNyi huwa mnajifanyaga waoga [emoji23][emoji23]
Mira na desturi..
Hahahaha, shangazi Shunie mie napenda kufurahi, maisha yenyewe mafupi hayaUnachekaaaa we mzee
Hahahaha,wamefanyajeEeenh ndiwoooo wanaume wenyewe nyie
Tupo machame mkuu..Hahahaha, kwema kabisa ,Naona humu watu kimya, ndio mko huko machame ?
Wasalimie huko machame
Ngoma inangia mwisho wa mwezi huu..Tunataka gari letu