AmeeenBaba yetu na Mungu wetu tunakushukuru kwa ulinzi mchana kutwa asante kwa yote uliyotutendea Tunaomba Toba kwa makosa yote tuliyotenda kwa mawazo,maneno,matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali Uturehemu Twakusihi..usiku Wa Leo tunaomba utulinde Yehova utuepushe na ajali na hatari mbalimbali za kimwili na kiroho tunaomba malaika walinzi wazingire nyumba zetu na kesho Baba utuamshe salama endelea kutupigania Mfalme Wa Amani tufariji,Tuponye,Tutie nguvu walinde ndugu,jamaa,marafiki wote wape tumaini na imarisha imani kwa kila mmoja wetu DAMU Takatifu ya YESU Kristo Itufunike Tunaomba yote katika jina LA YESU Kristo Amen ..Usiku mwema
Nikulipe tena baba wawili nigundue nn etiiiiUtaanza kunilipa sasa
Wewe unaonaje etiiJe wajua?new segment au sio?
Ni kweli kabisa shangazi Shunie ,niamini tu japo kiduchuMh
Kama kweli vilee we mzee
Ha haNikulipe tena baba wawili nigundue nn etiiii
Kwema dada ake?Baba yetu na Mungu wetu tunakushukuru kwa ulinzi mchana kutwa asante kwa yote uliyotutendea Tunaomba Toba kwa makosa yote tuliyotenda kwa mawazo,maneno,matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali Uturehemu Twakusihi..usiku Wa Leo tunaomba utulinde Yehova utuepushe na ajali na hatari mbalimbali za kimwili na kiroho tunaomba malaika walinzi wazingire nyumba zetu na kesho Baba utuamshe salama endelea kutupigania Mfalme Wa Amani tufariji,Tuponye,Tutie nguvu walinde ndugu,jamaa,marafiki wote wape tumaini na imarisha imani kwa kila mmoja wetu DAMU Takatifu ya YESU Kristo Itufunike Tunaomba yote katika jina LA YESU Kristo Amen ..Usiku mwema
Naendelea vizuri baba wawili wewe jeHa ha
Salama shunie??unaendeleaje huko??
Karibu mpendwa humu ndio nyumbani kwake muda si mrefu inakujaNimeipenda mamy
Nipo salama kabsa,namshukuru MunguNaendelea vizuri baba wawili wewe je
Asante baba wawili na kwako piaNipo salama kabsa,namshukuru Mungu
Nikutakie siku njema shunie & Mungu awe nawe ktk shughuri zako za leo