Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,047
- 3,322
Hahhahahah
Halafu nasoma i'd yako apa ww ndg yangu kabisa wa tanga sijui msambaa mwenzangu
Yap!me ni msambaa from handei ubiri kwa kimweri.
Hahhahahah
Halafu nasoma i'd yako apa ww ndg yangu kabisa wa tanga sijui msambaa mwenzangu
Nimeona tu jina nikajua ndg yanguYap!me ni msambaa from handei ubiri kwa kimweri.
Hahahaha, wa milimani ? Hivi safari ya milimani bado IPO ? SijasahauHahhahahah
Halafu nasoma i'd yako apa ww ndg yangu kabisa wa tanga sijui msambaa mwenzangu
HahahahaNimeona tu jina nikajua ndg yangu
EeenhHahahaha, wa milimani ? Hivi safari ya milimani bado IPO ? Sijasahau
Hahahaha, huko huko nataka niendeEeenh
Milima ya usambara we mzee
Ukagundue nn wewe mzee etiHahahaha, huko huko nataka niende
Hahahaha, kucheza mdumange na kunywa ugimbi wa mnaziUkagundue nn wewe mzee eti
Hahaha na boha pombe yetu ya miwaHahahaha, kucheza mdumange na kunywa ugimbi wa mnazi
Hahahaha, swadakta na kingine nnHahaha na boha pombe yetu ya miwa
Nko hapa na cheo changuMama mpandishwa vyeo huyoooo
Wazima kabisaHawajambo kabsa,wanakusalimia tu,wenzao wazima huko![]()



Hahaha na boha pombe yetu ya miwa
Mara ya mwisho tanga niliagiza litre 5 tukawa tunakunywa na bibi zangu inauzwa elf 2000 sijui elf 2500boha c mchezoo
nimekumbuka long kidogoo.
Najua toka upandishwe cheo umekuwa adimu sanaNko hapa na cheo changu
Hata sijui labda uongezee mwenyeweHahahaha, swadakta na kingine nn