Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,238
- 90,416
Wazima ndugu zangu
MTC | 101|
MTC | 101|


Wazima we mzee habari yakoWazima ndugu zangu
MTC | 101|![]()
Wazima we mzee habari yako
Mie upande wangu mzima kabisa, nafurahi sana,Rafiki /Shangazi Shunie kama uko mzima ,najisikia rahaMzima mm sijui upande wako
Siku 176 za duniani =siku 1 ya Mercury ambapo inamaana kuwa(siku 176÷30=miezi5na siku8 za duniani) so it means Mercury inachukuwa miezi mi5 na siku 8 za kidunia kukamilisha mzunguko wake katika kupata usiku na mchana(siku moja) kwamaana kwamba Mercury inajizungusha taratibu sana ili kupata usiku na mchana (siku 1) ila ina spidi kubwa sana katika kulizunguka Jua (kwamaana inachukuwa siku 88 za kidunia kukamilisha mzunguko wake katika kulizinguka Jua) it means Mercury ina kamilisha mzunguko wake katika kulizunguka Jua ikawa bado haijamaliza kukamilisha usiku na mchana(siku moja) so Mercury ina maliza kulizunguka Jua kwa miezi 2 na siku 9 za kidunia(88÷30=2.9333333),Unasema?
Ameen ,karibu SanaAmeen
Hahahaha, mie 'nimelewa'Siku 176 za duniani =siku 1 ya Mercury ambapo inamaana kuwa(siku 176÷30=miezi5na siku8 za duniani) so it means Mercury inachukuwa miezi mi5 na siku 8 za kidunia kukamilisha mzunguko wake katika kupata usiku na mchana(siku moja) kwamaana kwamba Mercury inajizungusha taratibu sana ili kupata usiku na mchana (siku 1) ila ina spidi kubwa sana katika kulizunguka Jua (kwamaana inachukuwa siku 88 za kidunia kukamilisha mzunguko wake katika kulizinguka Jua) it means Mercury ina kamilisha mzunguko wake katika kulizunguka Jua ikawa bado haijamaliza kukamilisha usiku na mchana(siku moja) so Mercury ina maliza kulizunguka Jua kwa miezi 2 na siku 9 za kidunia(88÷30=2.9333333),
Nadhani tumeelewa hapo
Segment yangu pendwaJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge
Sema kweli we mzeeSegment yangu pendwa
Nafurahi kusikia umeelewa we mzeeHahahaha, mie 'nimelewa'