Makapuku Forum

Siku 176 za duniani =siku 1 ya Mercury ambapo inamaana kuwa(siku 176÷30=miezi5na siku8 za duniani) so it means Mercury inachukuwa miezi mi5 na siku 8 za kidunia kukamilisha mzunguko wake katika kupata usiku na mchana(siku moja) kwamaana kwamba Mercury inajizungusha taratibu sana ili kupata usiku na mchana (siku 1) ila ina spidi kubwa sana katika kulizunguka Jua (kwamaana inachukuwa siku 88 za kidunia kukamilisha mzunguko wake katika kulizinguka Jua) it means Mercury ina kamilisha mzunguko wake katika kulizunguka Jua ikawa bado haijamaliza kukamilisha usiku na mchana(siku moja) so Mercury ina maliza kulizunguka Jua kwa miezi 2 na siku 9 za kidunia(88÷30=2.9333333),

Nadhani tumeelewa hapo
 
Hahahaha, mie 'nimelewa'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…