Ni suna eti kwa mwanamke,?Au bado nna uzamaniUmbea huoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaan humu jamani stress zangu zote nasahau woiiiii nikitoka humu zinaanza upya naanza kukumbuka kutapishwaNakuamkia[emoji41]dada ake bonge[emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaan humu jamani stress zangu zote nasahau woiiiii nikitoka humu zinaanza upya naanza kukumbuka kutapishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saivi hatuna hela
Wee bibie kuna mtu anatoshekaga na helaSs we ndo mwenye mahela wataka hela za nini tena.?
Chizi nn bwana na wakati kila siku unapost wekundu wekundu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chizi ww
[emoji23][emoji23]duhSijambo kabisaa ..
Shkamoo
Hahaha hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili la moyoni kabisa
Wee bibie kuna mtu anatoshekaga na hela
Duh duh la yuyu[emoji23][emoji23]duh
Yaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stress free mama ukitoka toka fresh
Hata sijui
Sio ABJ shikamoo ile ilikuwa ya babu mzeewakungoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heee[emoji134][emoji134]babu tena.? Basi sawa babu unaamkiwa huku ABJ
Niko mzima wa afya kwakweli..sijui weye ulopandishwa cheo unaendeleaje
Unazungumzia nini etiMuulize basi..[emoji4]
Yaan
Nikitoka zinaanza nikiingia makapuku zinaisha