Makapuku Forum

Makapuku Forum

Umelala wapi?
Hahaha hahaha
Nyumbani baba Naah
Ulilala jikoni au store..?

Nimelala na chakula chumbani nakusubiri uke nikulishe..
Jamani baba Naah...
Mbona nililala chumbani kabisaaa mimi eti!
Mbona nimelala bila wewe na nimeamka bila wewe...!

Wewe nenda kazini kwanza ! Ukirudi tutayaongea
Mimi niko kazini tayari!
Ujue baba Naah niliwahi kulala mimi jamaniii!
Ngoja nitege maskio vyema hapa ndo pakujifunzia maswali na majibu
Nawasalimia Mr and Mrs

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom