ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
Morning baba NaahMama Nah uko wapi lakin..
Leo si unajua ni Dinner on bed?
Njoo nikakulishe mpenzi..
Aliyekutekaaa sijui nanNakusalimia jirani,kwema??
Shikamooooooo bibiMarhabaaaaa hujambo
Nilikuwa nakimbia kukutwa na wenyeji wa mjini sisi huku tunajiamkilia yeyote tu
Nataka kurudishaaa kadiiii
Hujamboooo[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Morning baba Naah
Umelala wapi?Morning baba Naah
Nimemnyumbua[emoji12]Churaa si badooo wa kutoshaa au umemnyumbua ?
Hahaha hahahaUmelala wapi?
Ulilala jikoni au store..?Hahaha hahaha
Nyumbani baba Naah
Jamani baba Naah...Ulilala jikoni au store..?
Nimelala na chakula chumbani nakusubiri uke nikulishe..
Mbona nimelala bila wewe na nimeamka bila wewe...!Jamani baba Naah...
Mbona nililala chumbani kabisaaa mimi eti!
Jamani baba Naah...
Mbona nililala chumbani kabisaaa mimi eti!
Bongo movie bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona nimelala bila wewe na nimeamka bila wewe...!
Wewe nenda kazini kwanza ! Ukirudi tutayaongea
Hiko chakula kilichobaki njo unilishe mmUlilala jikoni au store..?
Nimelala na chakula chumbani nakusubiri uke nikulishe..
Mimi niko kazini tayari!Mbona nimelala bila wewe na nimeamka bila wewe...!
Wewe nenda kazini kwanza ! Ukirudi tutayaongea