Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tunamtaka mwali wetu
https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/ec8c14d97795bf142cd63b80b880edad.jpg[/IMG
Mwaaaaaaaaaaaa
............
2182a765bbf859014286d5c0208a289c.jpg
 
Kuelekea 16/06/2016.
"SIMU FEKI KUZIMWA"
SHAIRI LA KUWAAGA BAADHI YA WADAU WA KUNDI HILI

Twahuzunika kwakweli,
Makamanda wa ukweli,
Kwa kuwaaga kwaheli,
Nunua nyingine rudi.

Hiyo ni kama ajali,
Simu yako si halali,
Kuwa nayo si kibali,
Nunua nyingine rudi.

Inaumiza ni kweli,
gharama kuikabili,
Simu yako kubadili,
Nunua nyingine rudi.

Hii ndyo serikali,
Meamua kubadili,
Simu ziso na kibali,
Nunua nyingine rudi.

Twakuhitaji kwakweli,
Kwenye kundi letu hili,
Twaliona pengo hili,
Nunua nyingine rudi.

Ndugu wala usijali,
Simu yako kubadili,
Mana si la kujadili,
Nunua nyingine rudi.

Huwezi kupinga hili,
Ni lazima ukubali,
Mana meshika makali,
Nunua nyingine rudi.

Mpendwa kila lakheri,
Kwa ya dukani safari,
Simu feki ni hatari,
UNAWEZA KUZIMIA...
............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom