Makapuku Forum

Haya mambo ya kupiga piga mapicha yamenipitia kando, toka mwaka 2016 nilipopiga picha kwenye harusi ya jamaa yangu mpaka leo hii bado sijapga tena pic, insta nahangaika kusoma vya watu, facebook kabisa nimeipa kisogo.. WhatsApp dp niliyoweka toka mwaka juzi inatamba mpaka leo, watu wananisumbua nibadili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…