Nimemmisi jamani shangaziHahahaha shangazi jiwe angekuwepo hapa,hachelew kusema wawil wa kudownload..
Sina hakika km ndie anko,ngoja Obe atusaidie ili tukalione hilo wowowo
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh......Shuniekwani huko ni kupatwa kwa Shangazi au.?
Embu njoo bc tumekumisi wanao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka ake shikamoowazee wa Englebert hawatabiriki wale
Kwema kabisa hamjambo na akina wawiliDada ake kwema??
Nko poa kpenz,vipi wewe
Ninakumiss binamu, sana tu yaani kama isingekuwa Kwaresma basi ningekuagizia mapochopocho na madikodiko ijumaa hii ufurahi. Lakini ndo hivyo tena, Kwaresma imekubana.
Ukifungulia tu nikumbushe
ukimwambia unaenda kuchukua majibu ya ......saa 5 kamili lzm akutoe chaaaap.
Iwe njema na kwako pia.na huko kwenye birian ni mwaliko au kila mtu aje na hela yake.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba shikamooooHahahaha, huwa naonaga clip mitandaoni , mdada anajiita mariam biriani ana tako hivi la haja , ndio huko mnaenda ?
MTC | 101|
Shuniekwani huko ni kupatwa kwa Shangazi au.?
Embu njoo bc tumekumisi wanao
Sent using Jamii Forums mobile app