Marybaby mbona unatufuruga(in senga's voice) kuamka ndio kupumzika ama kulala ndio kupumzika..
Wengine tunalala nafsi ya kwanza umoja, so tunapumzika, au ulikuwa unawaambia mupumzike nyie mnaolala nafsi pili uwingi, nyie mnaolala 4 legs mabingwa wa kulegeza nati za vitanda, nyie ndio usiku hampumziki, ila sie wakina pangu pakavu tia mchuzi.. Iihh, ndio mida yetu kupumzika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh ndiwooooWw si haujui kuachika
Nko hapa shemelaHata mie siwez kukubali aachike.. Shemela ukuye huku, kuya huku mara moya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Abeeee
Shemela wangu huyo
Ebu ukoEeeh ndiwoooo
Safi sana mzee wa ze gunners, sisi sio watu wa hit n run kama manyumbu fc.. Kula kilaji mkuu.
Hahaa.. Sijapoa shemeji ndio hvyo ukubwa tuu najikaza kisabuni.pole shemeji
Upo kwa mama nyumbani au kwa shululu, km upo kwa mama nyumban kusanya kila kilicho chako, njoo hapa nyumban nikupeleke kwa shululu tukayamalize na kama upo kwa shululu, wasalimie wanangu kina JJ nitakuja kuwaona weekend.Nko hapa shemela
Hahaha hahahaNishasahau bwana
Hebu hukoooShikamoo na yangu