Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Woyoooooooo acha nikupende tu maka akee
Woyoooooooo acha nikupende tu maka akee
Ondoa, kifupi manta khofu ni km vile toa shaka, ondoa hofu, usiwe na wasi, usiwe na shaka..
Kaishakua huyo.. Kaanza kuujua utamu wa hela, kakata kamba tayari.Umeanza lini haya mambo ww binti
Km mimi nikupendvyo shunie akee..Woyoooooooo acha nikupende tu maka akee
Abeee
Hahahah.. Kumbe nishapata kamsemo niongezee na mingineOndoa, kifupi manta khofu ni km vile toa shaka, ondoa hofu, usiwe na wasi, usiwe na shaka..
Ila sio xhaka yule kiboko ya degea na man u wao, shunie akee anamjua xhakabooom.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaahha na kweli nilikua nachukulia masihara kuna mtu nitamtuma kwako





asisahau nauli
HahahahOndoa, kifupi manta khofu ni km vile toa shaka, ondoa hofu, usiwe na wasi, usiwe na shaka..
Ila sio xhaka yule kiboko ya degea na man u wao, shunie akee anamjua xhakabooom.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah yaani nimemshangaaKaishakua huyo.. Kaanza kuujua utamu wa hela, kakata kamba tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikumuss pia shemela
Acha tupendane tu maka akee
Nilitegemea kukuta "maka akee unanini jamani, mfyuuu zako"Hahahah
Usimshangae ndio hvyo tena, kaishakata kamba pesa lazima imnogee.Hahahah yaani nimemshangaa