makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,450
- 108,531
Bora korosho tungetafuna wenyewe tuu.. Huu ni uhuni mkuu....nililipwa nusu binamu, zawadi yako subiri sikukuu ianze, watatumalizia mwezi huu walisema kwa hiyo uongo dhambi, nina mpango wa kuoa mke mwingine, jadi inaruhusu. Ukipata hela unaruhusiwa kuongeza mke, zikiisha mnaachana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alikuwepo hapahapa majukwaa tofauti
Mambo ni moto mambo ni fire.Woyoooo woyooooo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ze BBC side.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wouzeeer wouzeeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hunifikii mimi shunie akee!!Awww [emoji8][emoji8][emoji8] miss u mnooo maka akee
Pasaka Heineken kama zote shunie akeee..Wouzeeer wouzeeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mh nishachoka na ahadi zako mm maka akee
Nilikumiss makapuku tu uko kwingine nakuonaga sana
Namie nishachoka kukuahidi shunie akee.. Mwaka wa 3 huu tunapeana ahadi zinafia njiani. Nawe ndio unaongoza kuua ahadi zetu.Mh nishachoka na ahadi zako mm maka akee
Akaa hakunambia alisema atakupigia cm weweKhaaaa alikwambia anarudi lini
Huko nilikuwa nazuga tuu... Hata mie nimekuona huko ila nilikumiss.Nilikumiss makapuku tu uko kwingine nakuonaga sana
Jamani hata kuja kutusalimia nani alimuudhiAlikuwepo hapahapa majukwaa tofauti
Nauaje jamani ebu kuwa kama shemela wangu shululu simba tukishinda lazima tigo pesa iingie ya heinekenNamie nishachoka kukuahidi shunie akee.. Mwaka wa 3 huu tunapeana ahadi zinafia njiani. Nawe ndio unaongoza kuua ahadi zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app