Alipinda mbayaAlifanya mauaji Mengi, Lakini ambayo ni ya Kusisimua Ni Kwanza...alikuwa na Mpenzi wake ambae Aliuliwa na Kikundi cha Wahuni. Pedro aliwasaka Hao Jamaa na Kuua Mmoja mmoja.
.
Baba yake mzazi Unaambiwa alifungwa Jela nae kwa Kumuua Mama yake mzazi na Pedro kwa kutumia Panga ....Jamaa alichofanya Alienda Kumtembelea Gerezani....Alichomfanya ni Kwa kutumia Kisu Alimchoma choma zaidi ya mara 22...Na kisha kumnyofoa Moyo na Kuukata vipande vipande.
.
Kituko Zaidi ni hichi, Wakati anakamatwa Aliwekwa katika gari moja na Jamaa Wawili, Mmoja alikamatwa kwa Ubakaji...Ile wanafika Kituoni, Polisi wanafungua Mlango wa Gari Walikuta Maiti ndani Ya Mbakaji.
.
Hatari zaidi ni Pale alipowageuza Wenzake Vipande vya Mikate zaidi ya 47...Hawa walikuwa ni wafungwa wenzake ambao Inataarifiwa kuwa nao Walikuwa ni Wauaji.
.
Kwa mujibu wa Source niliyosoma inasema kuwa aliachiwa Mwaka 2007...Ila kipindi anakamatwa alisema kuwa Pindi Akitoka Ataendeleza Mission yake kama Kawaida ya Kuua Wauaji wengine.
.
Alizaliwa mwaka 1954....Alifungwa Mwaka 1974...Katoka Jela mwaka 2007.
View attachment 1045285
Salamu Sakayohearly tabia yako ya kunigongea LIKE halafu huongei sio nzuri jamani, wataka ninyima nini eti
Hii hata Tukuyu mbeya ipo4. The Devils Kettle In Minnesota
Haya ni maajabu mengine yaliyopo nchini Marekani katika jimbo la Minesotta, ambapo kuna water fall imepewa jina la 'Devils kettle', maporomoko haya ya maajabu yana sehemu mbili za kumwaga maji, sehemu ya kwanza, maji yake yanakwenda katika mto blue, lakini mengine yanaaagukia kwenye shimo lililopo kwenye miamba, lakini cha ajabu maji hayo hupotelea hapo, bila kujua yanaelekea wapi. Wanasayansi wamefanya uchunguzi wao kuangalia huenda kuna sehemu yanatiririkia lakini hawajagundua kitu chochote mpaka sasa, na kubaki kuwa tatizo lililokosa ufumbuzi.
Aise1. Mwanga wa Hessdalen (The Hessdalen Lights)
Kwa miongo sasa tangu kuripotiwa kwa mara ya kwanza mwaka 1930, watu wnaaoishi katika bonde la Hessdalen nchini Norway, wamekuwa wakishuhudia mwanga wa ajabu ukipita angani, mwanga huu umekuwa ukitokea muda wowote, usiku, mchana, asubuhi, na kucheza cheza huku ukibadilisha rangi.
Tangu mwaka 1983 wanasayansi kutoka sehemu mbali mbali wamekuwa wakifanya utafiti wao, kujua nii hasa chanzo cha mwanga huo, lakini mpaka sasa hawajapata majibu sahihi juu ya chanzo chake.
MarhabaWanaume shikamooniView attachment 1049251View attachment 1049252
Hahhahhaha mkushi upoooo