Hapo kwenye pm anko nimefunga huwa siitumii mpaka nimesahau kama jf kuna opt ya pmHahaha nina uhakika kuna mafisi hayajalala baada ya kuona hii picha. Haya niambie mpaka sasa umepata PM ngapi na appointments ??
Asante baba wawili na kwako piaNdugu zangu muwe na jioni na njema!!nimefurahia kubadirishana mawili matatu
Hahaha usiwakatili hivyo wenzako aisee.Hapo kwenye pm anko nimefunga huwa siitumii mpaka nimesahau kama jf kuna opt ya pm
MfyuuuuEbu uko
Pamoja bro!!ngoja nijiliwaze na Creed ||Na wewe pia mkuu.
Pamoja shunie!!Asante baba wawili na kwako pia
Miss u too broDada ake mwenyew,,,miss you
Na kwako pia mkuuDunia haiwezi kutenda tunavyo taka tuwe na jion njema wapendwa
Tunaoteseka tuko hapaBado tunashangilia ushindi jamani simba rahaaaa mnyamaaaa
Na kwako pia mkuu
Hahaha poa bro, mimi nadhani ntaiangalia wiki hii ya kesho nikiwa Dar es salaam panapo majaliwa ya Mungu.Pamoja bro!!ngoja nijiliwaze na Creed ||
Were huyoooIle stimu wanaita andasi,,bhasi bhana kuna mwaka nilikuwa A Town,mitaa ya mianzini,tumeshahandasika na ndugu yangu tunatembea barabarani kuelekea Tripple A,,,tulikujikuta mikononi mwa polisi bila hata kujijua
Kwanza andasi lile lilitufanya tusijue kama tunaongea na askari,mdomoni tunatafuna tena bila hata wasiwasi,,
Bhasi wale askari wa patro wakatubeba wakachukua na mzigo mwingine,,tukapiga nao misele kama masaa matatu hv,cha ajabu na wale mapai nao wakawa wanachanja,,walikuja kutuacha Ngaramtoni,,hahaha huwa nikikumbuka lile tukio nacheka sana
Dunia haiwezi kutenda tunavyo taka tuwe na jion njema wapendwa
Asante dadake
Hayaaa sasa...Ile stimu wanaita andasi,,bhasi bhana kuna mwaka nilikuwa A Town,mitaa ya mianzini,tumeshahandasika na ndugu yangu tunatembea barabarani kuelekea Tripple A,,,tulikujikuta mikononi mwa polisi bila hata kujijua