Ile stimu wanaita andasi,,bhasi bhana kuna mwaka nilikuwa A Town,mitaa ya mianzini,tumeshahandasika na ndugu yangu tunatembea barabarani kuelekea Tripple A,,,tulikujikuta mikononi mwa polisi bila hata kujijua
Kwanza andasi lile lilitufanya tusijue kama tunaongea na askari,mdomoni tunatafuna tena bila hata wasiwasi,,
Bhasi wale askari wa patro wakatubeba wakachukua na mzigo mwingine,,tukapiga nao misele kama masaa matatu hv,cha ajabu na wale mapai nao wakawa wanachanja,,walikuja kutuacha Ngaramtoni,,hahaha huwa nikikumbuka lile tukio nacheka sana