ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Aisee...Acha kucheza na akili zangu jamani....
Endelea kunitesa tuu, kuna siku utanikosa milele
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...Acha kucheza na akili zangu jamani....
Endelea kunitesa tuu, kuna siku utanikosa milele
Ngoja nitakuja siku isiyo na jina wala saa isiyojulikana
Hebu hukooo
Mwenyewe
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Hahaa. .nimeanza kufikiria kughairi kwa kweli ...Hahaha hahaha hahaha hahaha
Wewe si unataka mahari?!
Hahaha hahahaHahaa. .nimeanza kufikiria kughairi kwa kweli ...
Wakileta nitakula tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wangu!
Hahaha.Mungu ni mkubwa sana jamanii...
Nitatoa fungu la kumi mshahara wangu woote
Akiii
Sinzia kabisaaa
Sawa kabisaaa mkuu
Hahaa kwakweli wapitie tu ... lakini fahamu kwamba pesa nitakula ... kisha nitawajibu kuwa barua ya uchumba imekataliwa na muhusikaHahaha hahaha
Kwa hiyo hutaniambia jamaniii, tumekubaliana wapitie kwako?!