Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
Huna shemeji huku bana... Acha kunizibia riziki
Geeez!!!!, riziki hiyo toka wapi tena ... wakija waambie mahari napokea mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha
Watakujaje kama hawajapitia kwako?!
Nielezee jinsi ulivyo mtoto mzuri !!?
Sasa si wataka idadi ya maombi ya kufunguliwa geti ya ongezeke ...
Mwisho wa siku utatusa babishia server za jf zi stuck bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Unichagulie basi mrefu
Unaenda wapi eti
Hahahaha, nawasalimu ,nakuwatakia Ijumaa njema,week end njemaAcha woga...
Si umesema tufungue geti?!
MTC | 101|


