Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahaha, kitimoto nakulaga pekee yangu au masela wangu

Zawadi nzuri km ipi ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwenye kula kitimoto we mzee

Nitakupa zawadi muzuri sana tukimalizana na hilo swala letu

MTC | 101| [emoji769]
 
Unajua hii ya milimani inakumbusha enzi hizo nasoma bible knowledge sekondari..

Kuna mwamuzi mmoja wa wana wa israel alimuomba baba yake aende milimani na marafiki zake...

Sasa tafsiri ya kwenda milimani, yule binti alikuwa ni bikra...! Alipaswa kufa kwa kutolewa zawadi na babae..

Hivyo akasema " nakuomba jambo hili moja, nipatie muda wa miezi 2 niende mlimani na rafiki zangu ili nipate kuomboleza kufariki kwangu kabla ya kuolewa.

Sasa nilipoona stori ya milimani nikajua mnaenda huko kutenda dhambi...

Daaah! Nimekumbuka mbali sana..! [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ww mawazo yako huwa ya kukulana tu
 
Unajua hii ya milimani inakumbusha enzi hizo nasoma bible knowledge sekondari..

Kuna mwamuzi mmoja wa wana wa israel alimuomba baba yake aende milimani na marafiki zake...

Sasa tafsiri ya kwenda milimani, yule binti alikuwa ni bikra...! Alipaswa kufa kwa kutolewa zawadi na babae..

Hivyo akasema " nakuomba jambo hili moja, nipatie muda wa miezi 2 niende mlimani na rafiki zangu ili nipate kuomboleza kufariki kwangu kabla ya kuolewa.

Sasa nilipoona stori ya milimani nikajua mnaenda huko kutenda dhambi...

Daaah! Nimekumbuka mbali sana..! [emoji41]
Hahahaha

MTC | 101| [emoji769]
 
Kasome kitabu za Waamuzi mlango wa 11 wote utapata hiyo story.

Wewe ndio unawaza kulana, mimi nawaza dolari mamalai..
Sasa kwa nn ufikilie habari za milimani ni kukulana sisi milima tunayozungumzia sio hiyo yako byeeee
 
Back
Top Bottom