Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahaha wewe bwana T mawazo yako
Unajua hii ya milimani inakumbusha enzi hizo nasoma bible knowledge sekondari..

Kuna mwamuzi mmoja wa wana wa israel alimuomba baba yake aende milimani na marafiki zake...

Sasa tafsiri ya kwenda milimani, yule binti alikuwa ni bikra...! Alipaswa kufa kwa kutolewa zawadi na babae..

Hivyo akasema " nakuomba jambo hili moja, nipatie muda wa miezi 2 niende mlimani na rafiki zangu ili nipate kuomboleza kufariki kwangu kabla ya kuolewa.

Sasa nilipoona stori ya milimani nikajua mnaenda huko kutenda dhambi...

Daaah! Nimekumbuka mbali sana..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom