Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Usinambie binamu...nimerudishiwa nusu, subiri pasaka nakuletea zawadi ya sikukuu. Utaipenda sana, sasa hivi andaa njaa tu na ikiwezekana anza kwaresma wiki hii ili ukifungulia tu unakutana na mazawadi toka kusini kunakopatina ajiji la maraha Ntwara
Nisije andaa njaa niambulie fursana

