Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahhahahha hivi tutakuwa tunatoa eeenh ebu nifanyie surprise bwnaa nikubebe mie nilipo usalama unatoka wapi sasa
Nilijuaaaaaaaaa sijuiii zimeongezwaaa kumi sijuii ngapiii leo

Mambo ya supriseeeew tuyaaacheeeee nisijetafuta band mchana huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha, wacha wee,boss lady huwa hatanii ,mie aniagizie supu tu kwa Mama manka inatosha
Huyu anakutaniaaa na anasema kinyumeeeee ...hapa nategemea rav 4 new model brand new kutoka japan kashaniagizia

MTC | 101| [emoji769]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kutaendekaaa kweliiii au ndo tunasubiria ya china
Mh ebu nikumbushe basi ujue kesho nakutumia picha ya msimbazi
 
Huyu anakutaniaaa na anasema kinyumeeeee ...hapa nategemea rav 4 new model brand new kutoka japan kashaniagizia
Woiiiiiiii imebaki story wengine tumezaliwa kutembelea mwendokasi tu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom