Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hehehehehehh alafuu kuna siku nipo car wash pale maeneo yetu ya zaman kuna mtu aliniangalia kwa kunifananisha na mm kama nilimfananisha nilitaka nikuulize alafu alikuwa anamaliza kuosha ...kitu kama spacio au raum au ?
Nimepitiwa na yule rafiki yangu wa pale wa ubungo sasa hivi ujue anatembelea matako
 
Hahahahaahahahhaahh shunie wew ....nimechekaaaaaaaa mpaka machoziiiiiiii

Kwendaaaaaaa hakuna cha suprise wala nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] jingaaa kweliiiii
Nasimamia mwendokasi nasubiria unifanyie surprise hata ya kapasso[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehehehehh alafuu kuna siku nipo car wash pale maeneo yetu ya zaman kuna mtu aliniangalia kwa kunifananisha na mm kama nilimfananisha nilitaka nikuulize alafu alikuwa anamaliza kuosha ...kitu kama spacio au raum au ?
Mh sidhani kama alishawahi osha pale nitamuuliza yeye ana ist ya silver
 
Hahahahaahahahhaahh shunie wew ....nimechekaaaaaaaa mpaka machoziiiiiiii

Kwendaaaaaaa hakuna cha suprise wala nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] jingaaa kweliiiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu nifanyie bwana kwani sh ngapi mill 5 kitu gani unafanya kama unatoa sadaka tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niacheeeeee bwanaaaaaah kwa hiyo tunatoa au tunajumlishaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ulipo kuna usalama au kuna kile ukipendachooo ?

Hahhahahha hivi tutakuwa tunatoa eeenh ebu nifanyie surprise bwnaa nikubebe mie nilipo usalama unatoka wapi sasa
 
Back
Top Bottom