Makapuku Forum

...ha hahhaa, ongea polepole (sio mwenezi), pesa ya korosho bado ndugu yangu (inabidi tu nikuite ndugu yangu maana u-baby bila hela ya korosho nitakuchosha tu )

Labda mkulu akimalizana na viongozi wa dini atatulipa. Kuwa mvumilivu
 


....wimbo huu ukiangalia clip anaongelea gonjwa letu lililokaa sehemu tamu. aliwahi kutoa mhadhara baada ya kifo cha mwanaye kuhusu HIV/AIDS.

Bahati mbaya naye kaondoka kwa sida ile ile kama walivyoondoka wanamuziki maarufu wa ukanda huu.

Namkumbuka kwenye filamu ninayopenda kuangalia muda wote NERIA, alicheza kama anko

 
Rip Oliver
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…