Mi pesa natafuta mwenyewe,
We ulitaka kunitoa out ndo nikakutajia maeneo nnayotaka, sasa ulipoanza kuogopa kutumbuliwa ndo nikashtuka, huenda tuko na fisadi
kwa hiyo unamchukia kwa sababu amekukataa au? Nimefuatili mizozo yote wewe ndiye chanzo kwa kujidai mjuaji kushinda wengine.. Una mamlaka gani ya kuwachagulia watu nini cha kufanya?
Unajiita rais huku huwezi kupambana na changamoto za Chit Chat?