Muwe na usiku mwema tu jamani shangazi yenu nawapenda tu mimi [emoji8]
Shangazi acha ubaguzi mimi hunipendi!!Muwe na usiku mwema tu jamani shangazi yenu nawapenda tu mimi [emoji8]
MmmhHusna wangu mwenyewe, umeamka salama mama!?
Usione kimya simu sikuwa nayo Mimi
Anazuga etyi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nimekuamini mpendwaSikuwa na simu tangu asubuhi, si unaona hata mwandiko ni tofauti.
...kwa hiyo boga lina harufu ya uke? Au sijaelewa maana leo jumatatu mambo matatu matatu