Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kumbe utaipata wapi ss.?
Alafu drimu laina inatafutwa huko imeonekana na nyama ya mbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alievaa shati la kijani ni nani vile?
116621.jpeg
 
Asante sana mdau. Koroshow sasa hivi ukienda kudai utasema unaenda vitani maana wanajeshi wamevaa gwanda kabisa wanakuuliza cheti cha uhakiki hata kama jina wanalo. Me bado wamesema watahakiki upya maana nimeuza kilo nyingi sana wanadhani labda mimi ni mzee wa kangomba kumbe wala, nalima kisasa
shikamoo binamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom