Licha ya kuwa na Uwezo wa kufanya vitu vingi, sehemu pekee ambayo imempa sifa za kumwaga ni katika Uchoraji na picha zake maarufu sana ni "Monalisa" na pia alichora picha ya "The last supper " Picha ya mwisho ya Mlo wa Yesu pamoja na Wanafunzi wake ambayo mpaka sasa bado Wakristo wengi huitumia
Picha ilichorwa kati ya mwaka 1503 mpaka 06...Na "Leornado Da Vinci".
.
.
UFAFANUZI: kuna mtu atasema kuwa Picha yoyote iliyochorwa ikiwa inatazama Ukiitazama kwa Pande yoyote nayo inakutazana... Chakufahamu kuhusu Hili au Utofauti wa picha hii ni kuwa...Ni kweli kuna Picha kadhaa ambazo Wachoraji wanajua namna wanavyofanya Ili ikuangalie kwa Kila Pande....Sasa huo Ujuzi au Teknolojia hiyo imetolewa kwa Huyu Leornado Da Vinci na Baadhi Ya Wachoraji Wa Kale lakini Huyu ndo alikua Maarufu, Kwa Upande wa Hii picha, Imechorwa katika miaka ya 1500's,Kipindi ambacho teknolojia ya Uchoraji haikua imekua bado ilikua inaendelea ndio maana watu walioleta mapinduzi makubwa ya Uchoraji ndio hawa mmoja wapo ni Leornado kama nilivyosema... Watu wanaosoma Architecture Wanamjua Vilivyo huyu. .
.
Hii picha inatajwa kama Moja ya Picha Ya Zamani zilizo katika Muonekano wa 3D....Namna hii Picha ilivyo, ndo imesaidia Teknolojia ya Uchoraji na Uundaaji wa Logo Pia Kuwa na muonekano kama mnavyoona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.