Basi binamu nilijua umelala hapo
Hahahahha aiseeShingoni na mikononi, kiunoni aendelee kuvaa shanga za kimasai ili machejo yawepo, akivaa cheni ya gold kiunoni ataogopa kujituma itakatika. Sasa hizi za kimasai zikikatika anainama kuziokota (sio chumamboga tena bali operesheni okota utunda)
Hahaaha nacheka mm
Ndio shangaz ,,hajakosea kitu marekebsho kdogo sanaNjia ndio hizo hizo baba wawili
Hahahahahahaha binamu mpo wangapi hapo duh...yaani nikilipwa watu watashangaa sana, ABJ atapendeza na ukimuangalia utaisahau telemundo ufikiri unaangalia tamthilia ya Sultan, maana sio kwa midhahabu hiyo. Mwili utachafuka dhahabu utadhani pilau la nyumba ndogo, mchele nusu nazi robo nyama kilo nne, nyanya kitalu kizima cha dabaga
Jibu safi sana hiliHaha yaani unaturuka wahusika unaenda kumuuliza mwingine jamani
Akikudanganya jee
Sent using Jamii Forums mobile app
...siwezagi kulala kwenye ghorofa, nina kiungalia mwenzenu, nilienda kulala guest moja mtaa wa Uhuru jirani na polisi, nililipa hela nyingi sana, eti kulala tu unatoa 10,000/= nilikasirika sana ikabidi nimtongoze muhudumu (alikuwa mdada) maana hii hela nyingi sana kulala burebure
Sema kweli binamu...yaani nikilipwa watu watashangaa sana, ABJ atapendeza na ukimuangalia utaisahau telemundo ufikiri unaangalia tamthilia ya Sultan, maana sio kwa midhahabu hiyo. Mwili utachafuka dhahabu utadhani pilau la nyumba ndogo, mchele nusu nazi robo nyama kilo nne, nyanya kitalu kizima cha dabaga
Hahahahaha nyie siwaamini kabisaHaha yaani unaturuka wahusika unaenda kumuuliza mwingine jamani
Akikudanganya jee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahaha sio huwezi kulala ghorofani huwezi kulipa na maubahili yako...siwezagi kulala kwenye ghorofa, nina kiungalia mwenzenu, nilienda kulala guest moja mtaa wa Uhuru jirani na polisi, nililipa hela nyingi sana, eti kulala tu unatoa 10,000/= nilikasirika sana ikabidi nimtongoze muhudumu (alikuwa mdada) maana hii hela nyingi sana kulala burebure
Hahaa binamu una vituko sana...cheka tu maana bado masaa machache iwe 2019
Baba wawili hata wewe unageuka
Kumbe mwenyeji huko binamu