Makapuku Forum

Huyo mtu(r) anatumikia adhabu humu ya:
NO LIKE
NO REPLY
NO QUOTE
Tafadhali achana nae(kosa lake lonajulikana)
No shobo
No ufagio
No superstar
Tulishalijadili hivyo potezea
............

badilika na pia uache kujiona kama wewe una uwezo wa kupangia watu wafanye kile unachokitaka wewe..

chuki zako kwa Mbulu & Rubii ni mifano tosha inayodhihirisha kuwa wewe ni mtu usiye na ufahamu wa hii mitandao..

Badilika na ujifunze kupitia kwa wenzako ya namna bora ya kuheshimu mawazo ya wenzako..
 
Km unamshobokea kanfate PM
Km vitu huvijui kaa kimya
Siyo much know
Usituharibie mood
................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…