Shangazi bado mchanga kbs yaani.Naona sasa umeamua kumtukana shangazi yako
Yangu macho
Umenitukana na uzee huu unanifananishaje na mtoto wa nursery mm
Binamu inabdi atulie na wazee wenzake bhnaKheee na wewe baba wawili unamgeuka binamu yako daah
Kujizeesha huko ili tukose wajomba au.?Umenitukana na uzee huu unanifananishaje na mtoto wa nursery mm
HahahHahahhahha yani navuta tu katoto kazuri anavyomwaga mapovu jamani na magazeti yake
Hahahaha hachelew kuanza kutoa maneno yake yale ya mafumbo mafumbo
Kupokea begi lake lililojaa mapesa ya koroshow,,alidai leo anakuja na mzgo woteUnaenda wapi sasa baba wawili
Hahahaha hachelew kuanza kutoa maneno yake yale ya mafumbo mafumbo
Sent using Jamii Forums mobile app