Makapuku Forum

Happybirthday Shunie jiwe shangazi yao watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Happybirthday mke mweee aka shangazi yao watu yaani jiwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu akupe maisha marefu tuendelee kufurahia uwepo wako
Ndio
Kazaliwa leo kabinti ka kapuku
Nimefurahi kuchelewa kulala kumbe mtoto shunie anazaliwa
Happy birthday shunie kipenzii
Asanteni vipenzi nawapenda [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Mimi ni Dadake ndio. Ila sina hakika kama alikuwa anakusimulia kuhusu mimi. [emoji23][emoji23]

Habari ni nzuri tu binamu. Nimefurahi kukufahamu binamu.
Ah! Kumbe wewe ni dadake binamu Shunie?! Au ndo yule ambae kila siku binamu yangu alikuwa ananisimulia? Sasa kama huyu binamu ni dada yako, basi nawe ni binamu yangu!

Habari binamu!!!!
Khaaaaaa
 
Wazima humu ? Nasikia kuna keki ya kuzaliwa mutu humu ,naomba utaratibu wa kujongea eneo la tukio ,kula keki, pia nina dumu la maji Lita 5, si huwa mnamwagiana maji siku km ya Leo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…