Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Umeonaeee. Acha tu ndugu yangu.Hahahhaha unakujaga kesho yake alfajiri sasa mm hata kesho yake nilikosa nafasi
Ujue ukiingia jf kama uteja hutamani kutoka kabisa
Umeonaeee. Acha tu ndugu yangu.Hahahhaha unakujaga kesho yake alfajiri sasa mm hata kesho yake nilikosa nafasi
Ujue ukiingia jf kama uteja hutamani kutoka kabisa
Niaje bro,mitikasi vp huko
Tunamshukuru Mungu aisee,,mambo yanaendaKwema Bro, mitikasi inaenda vipi kwako
Tunamshukuru Mungu aisee,,mambo yanaenda
Kujaza dunia sio kwa watoto wa kudownload baba wawiliAisee,,hutaki kuamini shangaz,,acha tuijaze dunia hasa kipind mavuno september
Humu ni zaidi ya uteja kabisaUmeonaeee. Acha tu ndugu yangu.
Yaani.Humu ni zaidi ya uteja kabisa
Kweli mzee,,na mambo bado yapo pale pale,kuna kipind unajisemea bora uzima tuMwaka unakalibia kupotea
Ha ha ha aiseeKujaza dunia sio kwa watoto wa kudownload baba wawili
Kweli mzee,,na mambo bado yapo pale pale,kuna kipind unajisemea bora uzima tu
HahahahaYaani.
Ndiwoooo baba wawiliHa ha ha aisee
Kweli kabsa bro!!Kabisa bora uzima Tu
Hela hazinaga mwisho Bro