Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 24, 2018 #355,181 .
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 24, 2018 #355,182 .
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 24, 2018 #355,183 ..
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Dec 24, 2018 #355,184 Shunie said: Jamani si unajua tunaotumia app kupata notification ya tag ilivyokuwa shida ebu niambie ni wapi huko naomba na hiyo zawadi yangu basi Click to expand... Kule jukwaa la Sport. Jana si mmeona mwezi au ushasahau. 🙈🙈
Shunie said: Jamani si unajua tunaotumia app kupata notification ya tag ilivyokuwa shida ebu niambie ni wapi huko naomba na hiyo zawadi yangu basi Click to expand... Kule jukwaa la Sport. Jana si mmeona mwezi au ushasahau. 🙈🙈
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,321 Reaction score 201,542 Dec 24, 2018 #355,185 Queen of my heart
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 24, 2018 #355,186 ningendako said: Hahaha zimefika shangaz Click to expand... Wawili wako wa kudownload wanaendeleaje lakini baba wawili
ningendako said: Hahaha zimefika shangaz Click to expand... Wawili wako wa kudownload wanaendeleaje lakini baba wawili
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 24, 2018 #355,187 Shadeeya said: Kule jukwaa la Sport. Jana si mmeona mwezi au ushasahau. Click to expand... Hahaha ujue ndio naingia jf leo nina masiku kadhaa sijaingia ebu ngoja niende
Shadeeya said: Kule jukwaa la Sport. Jana si mmeona mwezi au ushasahau. Click to expand... Hahaha ujue ndio naingia jf leo nina masiku kadhaa sijaingia ebu ngoja niende
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 24, 2018 #355,188 Cole Williams said: Queen of my heart Click to expand... @Mumu
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,321 Reaction score 201,542 Dec 24, 2018 #355,189 McKnight-Still
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Dec 24, 2018 #355,190 Shunie said: Wawili wako wa kudownload wanaendeleaje lakini baba wawili Click to expand... Wako poa kabsa,,wanaendelea vyema kabsa,,wanasubiri zawad za Christimas toka kwa shangaz yao mzur mzur
Shunie said: Wawili wako wa kudownload wanaendeleaje lakini baba wawili Click to expand... Wako poa kabsa,,wanaendelea vyema kabsa,,wanasubiri zawad za Christimas toka kwa shangaz yao mzur mzur
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Dec 24, 2018 #355,191 Shunie said: Hahaha ujue ndio naingia jf leo nina masiku kadhaa sijaingia ebu ngoja niende Click to expand... Haya nenda ila zawadi yenyewe nishaitumia muda wa lunch. Nilijua ungetokea kabla ya saa nne yaani leo zawadi yangu ungeipata kiulainii.
Shunie said: Hahaha ujue ndio naingia jf leo nina masiku kadhaa sijaingia ebu ngoja niende Click to expand... Haya nenda ila zawadi yenyewe nishaitumia muda wa lunch. Nilijua ungetokea kabla ya saa nne yaani leo zawadi yangu ungeipata kiulainii.
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,321 Reaction score 201,542 Dec 24, 2018 #355,192 Sisqo- Incomplete
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Dec 24, 2018 #355,193 Tumosa said: Shikamoo binamu Click to expand... Binamu msimu huu wa sikukuu ni mwendo wa salam yetu ile pendwa! HiBinamu!
Tumosa said: Shikamoo binamu Click to expand... Binamu msimu huu wa sikukuu ni mwendo wa salam yetu ile pendwa! HiBinamu!
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,321 Reaction score 201,542 Dec 24, 2018 #355,194 Without you girl my life is incomplete
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 24, 2018 #355,195 ningendako said: Wako poa kabsa,,wanaendelea vyema kabsa,,wanasubiri zawad za Christimas toka kwa shangaz yao mzur mzur Click to expand... Hao wawili wako wa kudownload zawadi watazivaaje na umewaokota insta uko ebu acha usanii wako baba wawili
ningendako said: Wako poa kabsa,,wanaendelea vyema kabsa,,wanasubiri zawad za Christimas toka kwa shangaz yao mzur mzur Click to expand... Hao wawili wako wa kudownload zawadi watazivaaje na umewaokota insta uko ebu acha usanii wako baba wawili
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 24, 2018 #355,196 Shadeeya said: Haya nenda ila zawadi yenyewe nishaitumia muda wa lunch. Nilijua ungetokea kabla ya saa nne yaani leo zawadi yangu ungeipata kiulainii. Click to expand... Jamaaani kwa nn lakini unanitamanisha hivi utanifanya simba wakicheza hata mama nimebanwa vipiii niingie tu jf hata kwa kubeep hahaha
Shadeeya said: Haya nenda ila zawadi yenyewe nishaitumia muda wa lunch. Nilijua ungetokea kabla ya saa nne yaani leo zawadi yangu ungeipata kiulainii. Click to expand... Jamaaani kwa nn lakini unanitamanisha hivi utanifanya simba wakicheza hata mama nimebanwa vipiii niingie tu jf hata kwa kubeep hahaha
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Dec 24, 2018 #355,197 Shunie said: Jamaaani kwa nn lakini unanitamanisha hivi utanifanya simba wakicheza hata mama nimebanwa vipiii niingie tu jf hata kwa kubeep hahaha Click to expand... Hahahaaaa. Mie huwa nakujaga kesho yake tutakutana tu na zawadi yako itakuwepo.
Shunie said: Jamaaani kwa nn lakini unanitamanisha hivi utanifanya simba wakicheza hata mama nimebanwa vipiii niingie tu jf hata kwa kubeep hahaha Click to expand... Hahahaaaa. Mie huwa nakujaga kesho yake tutakutana tu na zawadi yako itakuwepo.
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Dec 24, 2018 #355,198 Cole Williams said: Sisqo- Incomplete Click to expand... Niaje bro,mitikasi vp huko
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 24, 2018 #355,199 Shadeeya said: Hahahaaaa. Mie huwa nakujaga kesho yake tutakutana tu na zawadi yako itakuwepo. Click to expand... Hahahhaha unakujaga kesho yake alfajiri sasa mm hata kesho yake nilikosa nafasi Ujue ukiingia jf kama uteja hutamani kutoka kabisa
Shadeeya said: Hahahaaaa. Mie huwa nakujaga kesho yake tutakutana tu na zawadi yako itakuwepo. Click to expand... Hahahhaha unakujaga kesho yake alfajiri sasa mm hata kesho yake nilikosa nafasi Ujue ukiingia jf kama uteja hutamani kutoka kabisa
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Dec 24, 2018 #355,200 Shunie said: Hao wawili wako wa kudownload zawadi watazivaaje na umewaokota insta uko ebu acha usanii wako baba wawili Click to expand... Aisee,,hutaki kuamini shangaz,,acha tuijaze dunia hasa kipind mavuno september
Shunie said: Hao wawili wako wa kudownload zawadi watazivaaje na umewaokota insta uko ebu acha usanii wako baba wawili Click to expand... Aisee,,hutaki kuamini shangaz,,acha tuijaze dunia hasa kipind mavuno september