Makapuku Forum

Ngoja kwanza kwahiyo utakuwa sana na safari za moshi kwa mama mkwe

Halafu huwa nawaza wale viumbe vyako nani huwa anawaangalia ukisafiri
Mimi siendi hukoo ujuee...
Nitawanunulia kwa mpesa niwatumie namba watajipanga hukoo....

Viumbe wangu kuna mtu hukoo nina timu ya mpira kwa nyumba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…