Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Sanaaaa ulikuwa haupo hivi baba wawili wameshakuharibu hao mabazazi
Nmebadirika shangazi,,??
Nmebadirika shangazi,,??
Basi nisamehe ,sitofanya hivyo
Hahaha sasa umeuliza umejibiwa unasema sio kweli basi amini ukweli wako ulionao
Swadakta, ila natumai vijana humu mko vzr ,sina hofu juu yenuFanya yoteee lakini jua fainali uzee wako
Ila kwa mgangaa ndo uwanjaa wetuu ...huko pengine unatusaidiaa sanaHahaha hawaniwez wale,,niko vzr mjomba mara zote kwan mkizima nani huwa anawakingia kifua mjomba??au unataka kusahau kuwa mm ndio huwa kila kitu
Unajua binti mcheshi km wewe hutakiwi kuudhiwa au kukasirishwa kwa vitu vidogo vidogo, vinavyoepukikaHahahah sawa
Una album ya twanga pepeta etiiii ?Fanya yoteee lakini jua fainali uzee wako
Kumbuka kuna pacha apo au mtalea wenyewe?Mkuu,,unajua faini yetu kama wana ukoo lkn??
Unajua binti mcheshi km wewe hutakiwi kuudhiwa au kukasirishwa kwa vitu vidogo vidogo, vinavyoepukika
Sawa sawa naelewaNdiooo sio unampenda mwanamke tu mpende na anaowazunguka
Ntarudi kama zaman shangaz,,ondoa shakaSanaaaa ulikuwa haupo hivi baba wawili wameshakuharibu hao mabazazi
Kumbuka kuna pacha apo au mtalea wenyewe?
Hahahaha ,acha asee nipo na wazee wenzangu sasa kesho tutawasilianaMzee kama naanzaa kukuelewaaaa ...jiweeee get ready
Ndugu zangu,,muwe na wasaa mwema popote mlipo!!!
Ngoja nikayajenge na madame wangu![]()
Mkuu,ukipenda boga unapenda na ua lake,,wewe wa wapi bhana,,sitaki maswali kama umeridhia kutoa faini sawa,,maana mlikuwa mnaiba bila ukoo kujia,,,NUKTA
Hakuna fain mana hii ni teuzi isitoshe kuna pacha ntapenda pamoja na mama yaoMkuu,ukipenda boga unapenda na ua lake,,wewe wa wapi bhana,,sitaki maswali kama umeridhia kutoa faini sawa,,maana mlikuwa mnaiba bila ukoo kujia,,,NUKTA