Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
NdioUlipotelea wapi au wewe ndo Tumosa unachagua tu uingie na ipi?
NdioUlipotelea wapi au wewe ndo Tumosa unachagua tu uingie na ipi?
Ha ha haaaaNa ya kutoleaaa sh ngapiii
33500 sijui bado offer itakuwepo
Wooooooozaaaaaa badooo siku 9
Mi hata sijuiMkuu hebu fanya kujikuna nidokeze chanzo cha jukwaa hili kuwa roho yako ya pili ni nini!![]()
Yani box linameza watu wa ngapi au mmoja anatoshaKivipiii yani
Kwaa hiyoo ulijuaa ni leo ?Hahhaha
Yani box linameza watu wa ngapi au mmoja anatosha
Mana ukitaja box nimeelewa kama katon yenye vyupa kadhaa
Kwaa hiyoo ulijuaa ni leo ?
Leo nn tena ebu tuma hiyo hela
Hiyo ya kutolea ndo imenifurahisha tuMbonaaa unachekaaa![]()
Leo nn tena ebu tuma hiyo hela
Unamsapoti kweli?Hapo chaacha
Mh! So sad!!!Atakuwa katekwa tu na mpika chapati wake
Za kufanyaje?Weeeeeeee badooo sikuuu 9
Nani make husna nimemuonaa hapa kidogo niseme binamu kabadilisha avatar
