Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa hivi shangazi akianzisha mambo ya ohhhh sijui kukulana ni kutamu sana mimi natupia video saa hiyohiyo hadi aache hiyo tabia mbaya!
Ban itakuhusu hutavumiliwa haifai kabisa hiyo ujue hata asoe member hapa anaona hivyo hata watoto wanaona apo
 
Unavyofanya sio vizuri lengo lako huu uzi ufutwe au hizo video angalia mwenyewe hatuzitaki tukizitaka tunaingia jukwaa la wakubwa
Sasa hivi ukiropoka tu ohhhh sijui kukulana ni kutamu sana mimi natupia video hadi uache hiyo tabia mbaya![emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa hivi shangazi akianzisha mambo ya ohhhh sijui kukulana ni kutamu sana mimi natupia video saa hiyohiyo hadi aache hiyo tabia mbaya!
 
Back
Top Bottom