[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu.. Sipendagi kuchezea salio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Demi hakutakii tumosa hutak kukusikiaa ...jiwe ashajipatiaa pozeooMimi nataka wengi kama wewe ulivyo na wengi![emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji38][emoji38]Leo najiachia makapuku kama popobawa anavyo kula jicho
Njema za kwakoHabari zenu humu ndani
Pale marrybaby anapojifanya kucheka uwongo wakati ndani ana maumivu tele![emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38]
Ntajinyongaje kwa mfano.?Marybaby sijui kajinyonga ?
Wote hao hawana chura wala siwataki![emoji4][emoji4][emoji4]Demi hakutakii tumosa hutak kukusikiaa ...jiwe ashajipatiaa pozeoo
Enheee[emoji13][emoji13]Nisikilize mm hakuna wa kukutisha prince
Hata kitanzi kitakushangaa kwakweliEiiish ajinyonge kwa kipi haswa yaan mtu mmekutana ukubwani halafu ajinyonge hakunaga hiyo
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu.. Sipendagi kuchezea salio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakusalimia mtt wa shangazi.Huna haja ya kujua uzi, wewe nipe ruhusa nimlete hapa fasta![emoji1][emoji1][emoji1]
Unanisemea eti,?Kama umempaa asiyempendaa na anakuogopa kupingaa
Rafiki upo hai?[emoji44][emoji44][emoji44] Kuna taarifa kuwa umejinyonga na tumeshakufanyia buriani tayari!Nakusalimia mtt wa shangazi.
Eti.?Ananitaka mm kweli kabisa ananitaka
[emoji23][emoji23]Yaaaan anashindwaaa kula kisa wewe amekufaaa kaozaaa penzii la jiwe
Tumfananishe na nani sijui huku afrikaniUFAFANUZI: Kama jamii Ya Paka zilivyo, Duma Hawezi kushambulia bila kuvizia, Hivyo Huvizia ndipo Huanza kushambulia...mara nyingi Huwa anachukua Sekunde 10 mpaka 20 kumaliza zaidi ya hapo Huwa ni changamoto.
-
Pia changamoto nyingine ni kuwa Duma ni mzaifu, Akikamata Msosi inambidi ale mapema sababu kuna Wanyama wengine kama Simba na Fisi Jamaa akikamata msosi wao wanakuja kuchukua so mara nyingi huporwa Chakula.
View attachment 967979
Tena kazi si ndogoKazi kwenu wafugaji mbwaView attachment 967980
Kasumba hiiHahahahahah nimecheka aiseee haya mambo sio tanzania peke yakeView attachment 967982