Papa Francis amewashusha vyeo makadinali 2 wanaokabiliwa na tuhuma za dhuluma za kimapenzi dhidi yao.
Kadinali George Pell kutoka Australia na kadinali Francisco Javier Errazuriz wa Chile hawataendelea kuhudumu kwenye baraza la makadinali linalomshauri papa Francis.