Sio mm tu wengiii mbonaaa...kapuku wakikumis masaa wote wanakosaa amanii...what a love wewe wakipekeee na je sisi ambayo tushatengewa juis bariiiiiiidiiiiii tusemejeeeeHahaha wewe tena unaanzaje kukataa
ShwaaaaiiiiiiniiiiiiiNataka nionje hapo kidogo!
Three things cannot be long hidden:the sun,the moon and the TRUTHAiseeee halafu mtu fulani anasema uchumi unazidi kukua
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hainifai hata
Capital kanishinda mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shunie njoo umchukuee huyu mtu wakoo
Kabisa rafiki!Kama sitaonja hapo kidogo utakuwa hunitendei haki kwa sababu hilo chura nimelihangaikia sana![emoji1][emoji1][emoji1]
Sio mm tu wengiii mbonaaa...kapuku wakikumis masaa wote wanakosaa amanii...what a love wewe wakipekeee na je sisi ambayo tushatengewa juis bariiiiiiidiiiiii tusemejeeee
Three things cannot be long hidden:the sun,the moon and the TRUTH
Walau wange saidia kuzitaja mapema hizo Bank, msije kuambulia 1.5M alafu mtu umeweka zaid za 10M.
Moud mzima wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani Meko anavyoongea utadhani anajua kila kitu. Unaweza kudhani ni bonge la genius kumbe hata thesis yake alifanya ku-plagiarize.
Siisahau "Saddam Hussein alikuwa rais wa Kuwait"
Au jiwe afanye tenguzi kabisa![emoji6][emoji6][emoji6]Nakazia akuonjeshe huwezi toa mamilion wafaidi wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ile font fed je
We siwezi kukufanyia tenguzi utanitia aibu na kutaka kwako chura kwa kila mtuAu jiwe afanye tenguzi kabisa![emoji6][emoji6][emoji6]