Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Si shangazi yangu Behaviourist alikupeleka china
Nna tabu na wowow
Nna tabu na wowow
Nimefuliaaa wachaaa nimalizanee na kulee kwanza pa siku zilee kabla ya tar muhim yako
Hahhahaha
Bora umemuweka mbebz wangu fally
Hahaha halafu sijui kwa nn tarehe muhimu sina mshawasha nayo kabisa yaani tofauti na miaka yotee sijui ndio uzee au nn
Woooooooozeeeeeeeeeer hapo sitenguliwiiii kamweeeee huyu akisema haitakii unamtishiaa kidogo
Yaani alafu anataka kujua latumikajeSi shangazi yangu Behaviourist alikupeleka china
Hahahahhahaha etiiii uzeee ....si mda badoooo lakiniii wiki mbili kasoro siku mojaaaaa oooooooyooooo
NdiwooooooooooooHaahahhaha we ni mwehu
Yaani alafu anataka kujua latumikaje




Nakwambia ni uzee kwanza sitafanya kabisa yaani sijui nimekuwaje
Lakin si alikusindikizaaYaani alafu anataka kujua latumikaje
Hapaa kaandikaa wajina sio wewe kabisaEbu mpe
NETI zenye dawa zinazosambazwa ni rafiki kwa Afya sababu huzuia Malaria ambayo Hutokana na Mfumuko wa uchumi na kupanda kwa sukari bei iliopelekea korosho kuwa Adimu kwenye masoko ya Dhahabu.



Aiseee Capital.Atasubiri sanaEbu mpe
Apooooo mapeneee yetuu yataponaaaaa![]()
Hapaa kaandikaa wajina sio wewe kabisa