Kilichopo hapo
Mimi shida yangu ni tamuuuuu!Niombee nipate tamuuuuuuu kutoka hapa!
Mkuu obee ahsante sana aisee huu wimbo nilikua nausikia tu kwenye radio hafu jina siujui, leo hii ndio nafahamu kua umeimbwa na mafikizolo.. ahsante sana endelea kutupia nyimbo zenye mahadhi ya afrika wapenzi wake tuburudike
Kati ya teua-tenguzi ambazo zinaenda kukunyang'anya tamuuuuuuuuu yako na mimi ni nani anapaswa akalale?Tatizo hilo tena hujihurumii kbsembu kalale
Salama mjomba,,habar ya uzimaKumekuchaaaa swalamaaaa