HahahahaNipo mm naona umejipa cheo
Mjomba unasema??
Vp ww u mzima??weekend vpBaba wawili huyoooo mrembo wako anaendeleaje jamani ubavu wako wa pili
Nipo mm naona umejipa cheo
[emoji8]Wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] hapo ndio ninapokupendaga ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe umeshindwaa mashartiiiii shubaaaamitiiiiiiiii
Kama ni yeye mmh yupo vizuri. Mfikishie salamu zanguHuwa najiulizaga mwenyewe sipati jibu nimefura leo nimekutana na hili swali hiki kifua nahisi kitakuwa chake mwenza
Tumemtuma ndio mjibu basi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hilo swali ni binafsi I guess au kapuku wamekutuma.?
PM ni kwa mambo binafsi kama hili la kwako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajua nakutaka wewe miaka yote.
Kwan na ww ni jiwe[emoji134] [emoji134] [emoji134]Demi mrembo ...najuaa ulichokisema kimetoka kabisa moyoniiii
Jiwe mm ni kama nan nipingane na moyo wakoo
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Heshima yako pia
Heshima yko kaka anguMjomba unasema??
Kwan na ww ni jiwe[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mimi sina msaidizi jamani labda kama amejiteua mwenyeweNi bora jiwe karudi ofsini,,huyu msaidiz wake kuna teuzi zingine hapa alikuwa anajipendelea
Baba wawili nimeuliza tu mm jamaniHahahaha
Mm mzima sana baba wawili weekend hii nipo seblen nimejilaza chini na giza langu toka asubuhi hakuna umemeKwema shangazi,,hatujambo kabsa,,ubavu wangu wa pili haujambo pia,,,Vp ww u mzima??weekend vp
Sina msaidizi wala sitaki msaidizi mmMsaidiziiiii ulinipaa wewe
Sina msaidizi wala sitaki msaidizi mm
[emoji23][emoji23][emoji23] Hutakagi kabisa kujitesa kufa na tai shingoni ila avatar za jf hizi mwenza acha tu hivi unajua yule jamaa yulee wa kipindi kile yuleee wa kawaida mnooo nilionyeshwaga picha yake nikasema mwenza hapa angemuona sijui ingekuwaje[emoji8]